Fake life
Hiyo maisha watu wa tiktok huishi isiwai wafanya muamini ni ukweli. Hao jamaa wanaishi tu kama filters ziko kwa hizo camera apps zao in real life mtu ni mweusi kuliko ata gari mpya ya kasongo. Unapata jamaa inakupigia simu umnunulie supper na anaclaim ni celeb huko TikTok. Ata ukiangalia huyo kahalifu kairo alikuwa anaita vijana broke boys sai ndio huyo anatafuta bedsitter along thika road ju maisha ya kilimani imemtandika kuliko ile jeshi ya abduction. Let's be real guys and avoid fraudulent tutafika far.