Is she a witch?

Guys, Kuna huyu shorty amekua akikaa kwangu most days. Services ananipea vile inafaa. Juzi nimepata ameficha a glass of salty water nyuma ya washing machine. Kumuuliza anasema ati it chases away negativity. Hizi Ni gani Sasa. Could it be nadeal Na mchawi